Umepitwa na 255 kwenye XXL ya leo January 8? Isikilize hapa
Msanii Mo Music amesema kuwa ameamua kuwekeza kwenye biashara ya kuuza senene na dagaa ili kuongeza vyanzo vya mapato yake baada ya kutegemea muziki peke yake, hana muda mrefu sana lakini tayari Mikoa...
View ArticleHekaheka ya leo Jan 08 iko hapa, inatoka Shinyanga. Inamhusu Mama...
Hekaheka ya leo Jan8, inatokea huko Shinyanga, ambapo watu wanaishi nyumba moja wamemlalamikia mpangaji mwenzao kwa kitendo chake cha kutokwenda chooni na kujisaidia kwenye mifuko na kutupa hovyo...
View ArticleBill Gates kwenye huu mradi wa maji unaotokana na taka za binadamu!
Mmiliki wa kampuni ya Microsoft Corporation, Bill Gates amekunywa maji yaliotengenezwa kutokana na kinyesi cha binadamu kama maonyesho ya teknolojia mpya itakayoweza kutoa maji safi katika Mataifa...
View ArticleYanga imeamua haya kuhusu Kipa Juma Kaseja leo Januari 8…
Sakata la mchezaji mkongwe nchini Juma Kaseja na klabu yake ya Yanga leo limechukua sura mpya, baada ya kudumu kwa takribani miezi kadhaa. Kaseja ambaye amekuwa kwenye mgogoro wa malipo ya fedha za...
View ArticleZiko hapa kurasa za mwanzo na mwisho za Magazeti ya leo January 9, 2014
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleNimekurekodia habari Hot kwenye Magazeti ya leo Jan9, wakati yakisomwa kwenye...
Kama ulikuwa mbali na Radio yako ukashindwa kusikiliza Magazeti yakisomwa hewani leo January 09, kwenye show ya Power Breakfast ya Clouds FM, nimekurekodia unaweza kusikiliza hapa. Baadhi ya Habari...
View ArticleAmuua mkewe kwa risasi na kisha kujiua mwenyewe wakiwa kituo cha Polisi
Mara nyingi kituo cha Polisi ni mahali ambapo mtu anakuwa na uhakika wa kuwa na usalama, kuna matukio yakitokea katika maeneo hayo huwa ni ya kushtua, mojawapo ni kama hili la mwanaume mmoja kumuua mke...
View ArticleHizi ni video 10 za Afrika zinazotamba kwenye Top 10 ya Trace TV Jan 8, 2015
Mtu wangu wa nguvu kama ulikuwa na hamu ya kufahamu video za Afrika zinazofanya vizuri duniani na iliyofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa. kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha...
View ArticleAmeendelea kushikilia rekodi kubwa 2015, ameshinda Tuzo ya CAF kwa mara ya nne!
Shughuli ilikuwa jana Eko Hotel & Suites, Lagos Nigeria. Ushindani ulikuwa mkubwa, alikuwa akipambana na golikipa Vincent Enyeama na mshambuliaji wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang hatimaye...
View ArticleUpo Dar na ungependa kwenda cinema leo? Ratiba iko hapa
Mtu wangu wa nguvu hizi hapa ndio movies zitakazooneshwa kwenye theater mbalimbali pia unaweza kuchagua muda wako, movie yako na wapi pa kwenda kuangalia kati ya majumba ya Cinema Dar es salaam...
View ArticleMkusanyiko wa Stori kubwa kwenye Magazeti ya leo Tanzania January 9, 2015...
MWANANCHI Polisi wa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa JNIA wanamshikilia raia wa Kuwait kwa tuhuma za kukutwa na kenge 149 kati yao 139 wakiwa hai, akidaiwa kutaka kuwasafirisha. Kamanda wa Polisi JNIA,...
View ArticleMabibi na Mabwana hii ndio single mpya ya Chege na Temba waliyomshirikisha Dj...
Hii ni single mpya ya wasanii kutokea TMK Wanaume Family, Chege na Temba iitwayo Kaunyaka waliyomshirikisha Dj Maphorisa kutoka Afrika Kusini. Isikilize hapa mtu wa nguvu kisha usisahau kuniandikia ya...
View ArticleJamaa hajafika kazini kwa miaka 24 na bado alikuwa mfanyakazi!
Huenda huku kwetu sheria zinabana zaidi kuhusu utaratibu wa kazi na ajira, sikuwahi kusikia story ya mtu kukaa miaka 25 bila kuhudhuria kazini na bado akawa na sifa ya kuwa mwajiriwa! Mara nyingi...
View ArticleHii inamhusu Jamaa aliyechoma gari moto huku mwanaye akiwa ndani!
Mwanaume mmoja nchini Japan ameshtakiwa kwa kosa la mauaji baada ya kujaribu kumuua mwanaye kwa kuweka gari lake kwenye moto wakati mtoto huyo akiwa ndani ili apate muda wa kwenda kujirusha na mkewe....
View ArticleUmeisikia hii ya tembo waliovamia kijiji na kunywa pombe? Isome hapa
Tembo walivamia kijiji kimoja India wakiwa wanatafuta chakula, wakakuta kuna pombe ikiwa imewekwa na wanakijiji kwenye makopo, wakanywa na kulewa. Mbaya zaidi baada ya kulewa walianza kufanya fujo,...
View ArticleNimekurekodia 255 kwenye XXL ya leo Jan 09, unaweza kuisikiliza ukiingia hapa
Kwenye 255 ya leo Jan 09 story ya kwanza kusikika ni ile ya msanii Barnaba ambae leo kaachia ngoma yake mpya inayoitwa ‘Mipango’ aliyomshirikisha Mr. Blue, maalum kwa ajili ya siku ya wapendanao na...
View ArticleZiko hapa kurasa za mwanzo na mwisho za Magazeti ya leo January 10, 2014
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleAliyetoa Tuzo ya bidii ya kazi kwa Wanyama, aliwahi kuspend Valentine na...
Mwanasiasa mmoja nchini India, ameweka historia ya aina yake baada ya kuwatunuku Tuzo ya uaminifu wanyama kadhaa ikiwemo punda na swala akisema wameonyesha uaminifu mkubwa na kuwazidi binadamu. Vatal...
View ArticleHali si shwari White House… Ni kuhusu ile SELFIE ya Malia Obama iliyovuja!
#Selfie neno la Kimataifa kwa Mwaka 2013, hiyo ilikuwa majibu ya kazi ya Oxford Dictionaries. Tangu kumekuwa na mtandao wa Instagram, nimegundua kwamba mtandao huo umekuwa na nguvu zaidi kuipita...
View ArticleHuyu alimuua mpenzi wake na kumzika kwenye bustani ya mboga
Mwanaume mmoja kutoka Mpumalanga, Afrika Kusini amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkobola kwa kosa la kumuua mpenzi wake na kumzika katika bustani iliyo nyuma ya nyumba yake....
View Article