Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Bill Gates kwenye huu mradi wa maji unaotokana na taka za binadamu!

$
0
0

Mmiliki wa kampuni ya Microsoft Corporation, Bill Gates amekunywa maji yaliotengenezwa kutokana na kinyesi cha binadamu kama maonyesho ya teknolojia mpya itakayoweza kutoa maji safi katika Mataifa yanayoendelea. Mwanzilishi huyo wa kampuni ya Microsoft amesema kuwa ataisambaza mitambo ya teknolojia hiyo mpya kote duniani baada ya kuifanyia majaribio na kuridhika nayo mwishoni mwa mwaka huu. Teknolojia hiyo...

The post Bill Gates kwenye huu mradi wa maji unaotokana na taka za binadamu! appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles