Hekaheka ya leo Jan8, inatokea huko Shinyanga, ambapo watu wanaishi nyumba moja wamemlalamikia mpangaji mwenzao kwa kitendo chake cha kutokwenda chooni na kujisaidia kwenye mifuko na kutupa hovyo uchafu huo wakati wa usiku, baada ya kumlalamikia aliamua kutumia ndoo kujisaidia kwa madai kuwa hawezi kwenda chooni kwa kuogopa ugonjwa wa UTI. Mwanamke huyo alipoulizwa alisema...
The post Hekaheka ya leo Jan 08 iko hapa, inatoka Shinyanga. Inamhusu Mama anayejisaidia kwenye ndoo appeared first on TZA_MillardAyo.