Quantcast
Channel: Millard Ayo

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 2, 2025

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam March 2, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 2, 2025

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 2, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wadau wa Maonesho ya Mitindo Wahimizwa Kushiriki Katika Mageuzi ya Tasnia

Wadau wa maonesho ya mitindo nchini wamehimizwa kushiriki kikamilifu katika maandalizi ya matukio hayo ili kuimarisha ufanisi na weledi ndani ya tasnia hiyo. Akizungumza katika uzinduzi wa msimu wa nne...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt.Samia apongeza wadau wanaopeleka gesi maeneo yote ya vijijini

RAIS DK.Samia Suluhu Hassan ameipongeza Kampuni ya Oryx Gas pamoja na wadau wengine kwa kuendelea kushiriki kikamilifu katika kampeni ya nishati safi ya huku akitoa rai ya wadau hao kupeleka gesi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA kuondoa changamoto za bandarini

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Yusuph Mwenda amesema Zanzibar na Bara hakupaswi kua na changamoto za Kodi akigusia changamoto zinazojitokeza pindi wasafiri watokao Zanzibar ama Bara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nanauka Foundation yakabidhi kadi za bima ya afya kwa wazee 204 Mtwara

Taasisi ya Joel Nanauka Foundation, chini ya Muasisi wake Dkt. Joel Arthur Nanauka, imeendesha zoezi la ugawaji wa kadi za Bima ya Afya kwa Wazee 204 katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hospitali ya Kibong’oto kuwa taasisi ya magonjwa ambukizi

Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema Hospitali Maalum ya Tiba Magonjwa Ambukizi kibong’oto inatarajiwa kuwa Taasisi ya Magonjwa Ambukizi ambayo itakwenda sambamba na uimarishaji wa mifumo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Samia awapaisha wanawake katika sekta ya madini

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kufungua fursa mbalimbali za kuwawezesha wananchi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 3, 2025

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam March 3, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo...

View Article