Tuzo za CAF: Red Carpet, utoaji wa Tuzo, show za akina Fally Ipupa, Diamond...
Usiku wa January 8, ilikuwa ni siku ambayo Shirikisho la Soka Afrika, CAF walitoa Tuzo kwa Wachezaji Bora wa Afrika waliofanya vizuri kwa mwaka 2014. Hapa nimekuwekea Pichaz za Redcarpet za baadhi...
View ArticleIfahamu klabu pekee inayoweza kumsajili Messi kwa sasa…
Huku habari kuhusu uhusiano mbaya wa Lionel Messi na klabu yake ukiendelea kutengeneza headlines kwenye vyombo vya habari barani Ulaya tetesi za kuondoka kwake zimezidi kushika kasi huku kila siku...
View ArticleNakupa Dk 3 za kuangalia hii video mpya kutoka kwa Wiz Khalifa
Rapper Wiz Khalifa time hii amekuja na video mpya ya single yake Raw ambao unapatikana kwenye album yake ya tano iitwayo Blacc Hollywood. Itazame hapa Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu,...
View ArticleHujasoma Magazeti leo Jan 10? Nimekuchambulia story kubwa tano kutoka...
MTANZANIA Wabunge wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanakusudia kupeleka hoja binafsi Bungeni ili kumng’oa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa...
View ArticleJay Z na biashara zake, sasa hivi unaambiwa kaingia na kwenye mchezo wa ngumi
Rapa Jay Z usiku wa jana aliingia kwenye historia ya mchezo wa masumbwi akiwa na kampuni yake inayosimamia masuala ya michezo ya Roc Nation Sports wakati alipofanya kazi kama promota wa masumbwi kwa...
View ArticleMmiliki wa Blog apewa adhabu, kifungo miaka kumi jela na viboko 1000…
Mmiliki wa Blog moja Saudi Arabia amehukumiwa kifungo na kuchapwa viboko hadharani kwa kukutwa na hatia ya kuandika habari katika tovuti yake iliyodaiwa kuitukana Dini ya Kiislamu pamoja na kushinikiza...
View ArticleMourinho na Chelsea wajilaumu wenyewe kwa hili.
Wakati Jose Mourinho akiendelea kulalamika kuwa waamuzi wa ligi ya England wanaionea timu yake , kocha huyu anapaswa kujilaumu mwenyewe kwa kushindwa kuwa mbele ya wapinzani wake wa karibu Manchester...
View ArticleWenger agoma kumuaga mchezaji wake.
Mshambuliaji mpya wa Inter Milan Lukas Podolski amemshutumu kocha wake Arsene Wenger kwa kitendo cha kutomheshimu baada ya kocha huyo kushindwa kumuaga wakati alipokuwa anakwenda kujiunga na Inter...
View ArticleRapa huyu akiri kufanya ngono na ndugu yake wa damu.
Nchini marekani huwa hakuishi vituko hasa miongoni mwa wasanii ambao siku zote wamekuwa wakipenda kuzungumzwa kwenye vyombo vya habari huku ikiaminika kuwa kuzungumzwa sana ndio hasa kinachowaongezea...
View ArticleUtawala mpya ndani ya Barcelona.
Siku si nyingi kuanzia sasa klabu ya Barcelona itakuwa na uongozi mpya ambao utaingia madarakani kuelekea mwishoni mwa msimu huu wakati ambapo klabu hii itafanya uchaguzi wake mkuu . Hii ni baada ya...
View ArticleUnatamani kuyaona ya Nick Minaj nyuma ya camera? Documentary yake inakuja,...
Star wa Marekani asiyeishiwa vituko anayehit na ‘Anaconda’ kwa sasa, Nicki Minaj anaandaa documentary inayokuhusu hisia za (rollercoaster’) kwa ajili ya kufanya albamu yake mpya. Star huyo ambaye...
View ArticleEPL: Matokeo ya Liverpool vs Sunderland
Ligi kuu ya Uingereza imeendelea tena jioni ya leo baada ya kusimama kwa wiki moja. Pazia la mechi za leo limefunguliwa na mchezo wa Sunderland ambao waliikaribisha Liverpool kwenye dimba la Stadium of...
View ArticleEPL: Matokeo ya Chelsea, Man City haya hapa
Baada ya Liverpool kufungua pazia za mechi za leo kwa ushindi dhidi ya Sunderland – vilabu vya Chelsea Na Manchester City nao wametupa karata zao kwenye mfululizo wa mechi za Barclays Premier League....
View ArticleTaarifa kuhusu Mbunge aliyepata ajali leo Jan 10 eneo la Kitonga, Iringa
Kuna taarifa zilizoenea jioni ya leo January 10 kupitia mitandao mbalimbali, watu wametumiana picha na taarifa kwamba Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amepata ajali. Picha zilizoenea zinaonyesha...
View ArticleUmesoma makubwa yaliyoandikwa na Magazeti ya Tanzania leo Jan 11? Yako hapa
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headlines mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleMkusanyiko wa Stori kubwa muhimu zilizoandikwa kwenye Magazeti ya leo January...
NIPASHE Rais Jakaya Kikwete ametangaza habari njema kwa Watanzania kwamba kuanzia mwaka kesho elimu ya Sekondari na msingi itatolewa bure. Alisema hatua hiyo inakuja baada ya kukamilisha sera mpya ya...
View Articlekama unaitaka list ya nyimbo 20 za CloudsFM Top 20 January 11, 2015
Kila Jumapili kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa saba mchana huwa countdown ya nyimbo 20 bora inafanyika kwenye CloudsFM Top 20 ambapo list ya January 11, 2015 d ni hii hapa chini. #CloudsFMTop20...
View ArticleWatoto hawa hawakuamini wanachokisikia kuhusu elimu ya uzazi, tazama video hapa
Kulingana na ukuaji wa teknolojia watoto wadogo wamekuwa na uelewa wa mambo mengi, japo sio vizuri wakajua kila kitu wakiwa na umri mdogo, je kama mzazi ulishawahi kukaa na mtoto wako ukajaribu...
View ArticleKizaazaa cha Askari wa Ufilipino kuvaa pampers wakati wa ziara ya Papa Francis…
Siku chache zilizopita kulikuwa na taarifa kwamba kuna ugeni wa kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ambapo atakuwa anatembelea Ufilipino. Ambacho sikuwa nimejua ni hii kuhusu taarifa ya agizo rasmi kwa...
View ArticleBoss alibebwa na wakulima ili viatu visiharibike kwenye barafu, kilichofuatia...
Picha zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii Uturuki zikimuonyesha kiongozi wa Idara ya Huduma Vijijini akiwa amebebwa juu na wakulima ili kukwepa barafu zilimponza, ikaamriwa asimamishwe kazi. Afisa...
View Article