Ligi kuu ya Uingereza imeendelea tena jioni ya leo baada ya kusimama kwa wiki moja. Pazia la mechi za leo limefunguliwa na mchezo wa Sunderland ambao waliikaribisha Liverpool kwenye dimba la Stadium of Lights. Mchezo huo uliomalizika hivi punde umeisha kwa klabu ya Liverpool kupata ushindi wa taabu wa 1-0 dhidi ya vijana wa Guus...
The post EPL: Matokeo ya Liverpool vs Sunderland appeared first on TZA_MillardAyo.