Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Unatamani kuyaona ya Nick Minaj nyuma ya camera? Documentary yake inakuja, icheki teaser yake hapa (Video)

$
0
0

Star wa Marekani asiyeishiwa vituko anayehit na ‘Anaconda’ kwa sasa, Nicki Minaj anaandaa documentary inayokuhusu hisia za  (rollercoaster’) kwa ajili ya kufanya albamu yake mpya. Star huyo ambaye mwezi December aliachia ‘Pinkprint’  atawapa mashabiki wake nafasi ya kufahamu kwa undani mapambano anayokutana nayo  kwenye muziki kupitia Documentary hiyo ya ‘Nicki Minaj: My Time Again’. Kilichotokea 2014 kati yake na Safaree...

The post Unatamani kuyaona ya Nick Minaj nyuma ya camera? Documentary yake inakuja, icheki teaser yake hapa (Video) appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles