NIPASHE Rais Jakaya Kikwete ametangaza habari njema kwa Watanzania kwamba kuanzia mwaka kesho elimu ya Sekondari na msingi itatolewa bure. Alisema hatua hiyo inakuja baada ya kukamilisha sera mpya ya elimu na ufundi ili kuboresha sekta hiyo ambayo imepitishwa na Baraza la Mawaziri. Hatua hiyo inachukuliwa katika kuhakikisha kila Mtanzania anapata kiwango hicho cha Elimu...
The post Mkusanyiko wa Stori kubwa muhimu zilizoandikwa kwenye Magazeti ya leo January 11, 2015 appeared first on TZA_MillardAyo.