Rapa Jay Z usiku wa jana aliingia kwenye historia ya mchezo wa masumbwi akiwa na kampuni yake inayosimamia masuala ya michezo ya Roc Nation Sports wakati alipofanya kazi kama promota wa masumbwi kwa mara ya kwanza. Akiwa kwenye dili yake ya kwanza, Promota Jay alisindikizwa na watu wake wa karibu akiwemo mkewe Beyonce na star kwenye...
The post Jay Z na biashara zake, sasa hivi unaambiwa kaingia na kwenye mchezo wa ngumi appeared first on TZA_MillardAyo.