Kama ulikuwa mbali na Radio yako ukashindwa kusikiliza Magazeti yakisomwa hewani leo January 09, kwenye show ya Power Breakfast ya Clouds FM, nimekurekodia unaweza kusikiliza hapa. Baadhi ya Habari zilizochukua uzito kwenye Magazeti ya leo ni pamoja na taarifa inayohusu Vikao vya Kamati Kuu ya CCM kuanza wiki ijayo, Raia wa Kuwait kukamatwa na kenge...
The post Nimekurekodia habari Hot kwenye Magazeti ya leo Jan9, wakati yakisomwa kwenye Power Breakfast. appeared first on TZA_MillardAyo.