Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Amuua mkewe kwa risasi na kisha kujiua mwenyewe wakiwa kituo cha Polisi

$
0
0

Mara nyingi kituo cha Polisi ni mahali ambapo mtu anakuwa na uhakika wa kuwa na usalama, kuna matukio yakitokea katika maeneo hayo huwa ni ya kushtua, mojawapo ni kama hili la mwanaume mmoja kumuua mke wake na kisha kujiua mwenyewe wakiwa katika kituo cha Polisi cha Parkview, Johannesburg Afrika Kusini. Mtu na mkewe walifika katika kituo cha Polisi...

The post Amuua mkewe kwa risasi na kisha kujiua mwenyewe wakiwa kituo cha Polisi appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles