Mtu wangu wa nguvu kama ulikuwa na hamu ya kufahamu video za Afrika zinazofanya vizuri duniani na iliyofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa. kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha TV cha kimataifa cha Trace Urban cha Ufaransa kuangalia hii top 10 yao ya nyimbo kali za Afrika wiki hii. 10.Tiwa Savage- My Darling...
The post Hizi ni video 10 za Afrika zinazotamba kwenye Top 10 ya Trace TV Jan 8, 2015 appeared first on TZA_MillardAyo.