Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Ameendelea kushikilia rekodi kubwa 2015, ameshinda Tuzo ya CAF kwa mara ya nne!

$
0
0

Shughuli ilikuwa jana Eko Hotel & Suites, Lagos Nigeria. Ushindani ulikuwa mkubwa, alikuwa akipambana na golikipa Vincent Enyeama na mshambuliaji wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang hatimaye akatangazwa mshindi wa mchezaji bora wa Shirikisho la Soka Afrika, CAF. Ushindi huo ulienda kwa kiungo wa Ivory Coast na Manchester City, Yaya Toure, hii ikiwa ni mara yake ya nne mfululizo kushinda tuzo hiyo. Wakati...

The post Ameendelea kushikilia rekodi kubwa 2015, ameshinda Tuzo ya CAF kwa mara ya nne! appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles