Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Hali si shwari White House… Ni kuhusu ile SELFIE ya Malia Obama iliyovuja!

$
0
0

#Selfie neno la Kimataifa kwa Mwaka 2013, hiyo ilikuwa majibu ya kazi ya Oxford Dictionaries. Tangu kumekuwa na mtandao wa Instagram, nimegundua kwamba mtandao huo umekuwa na nguvu zaidi kuipita mitandao mingine ya kijamii ambayo ilitangulia kuwepo kama Facebook na Twitter, tunayaona mengi Instagram, ndiko ambako tuliona pia ile ishu ya kuvuja kwa Selfie ya Malia...

The post Hali si shwari White House… Ni kuhusu ile SELFIE ya Malia Obama iliyovuja! appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles