Mwanaume mmoja nchini Japan ameshtakiwa kwa kosa la mauaji baada ya kujaribu kumuua mwanaye kwa kuweka gari lake kwenye moto wakati mtoto huyo akiwa ndani ili apate muda wa kwenda kujirusha na mkewe. Polisi wa nchini humo walisema wamemshtaki mwanaume huyo mwenye miaka 71, Noriaki Kusaka baada ya kujaribu kuua kwa kukusudia. Kwa mujibu wa upelelezi...
The post Hii inamhusu Jamaa aliyechoma gari moto huku mwanaye akiwa ndani! appeared first on TZA_MillardAyo.