Tembo walivamia kijiji kimoja India wakiwa wanatafuta chakula, wakakuta kuna pombe ikiwa imewekwa na wanakijiji kwenye makopo, wakanywa na kulewa. Mbaya zaidi baada ya kulewa walianza kufanya fujo, wakawa wanaangusha nguzo za umeme katika kijiji hicho na baadaye tembo sita kati ya 40 walikufa baada ya kupigwa shoti na nyaya za umeme. Hii sio mara...
The post Umeisikia hii ya tembo waliovamia kijiji na kunywa pombe? Isome hapa appeared first on TZA_MillardAyo.