Kwenye 255 ya leo Jan 09 story ya kwanza kusikika ni ile ya msanii Barnaba ambae leo kaachia ngoma yake mpya inayoitwa ‘Mipango’ aliyomshirikisha Mr. Blue, maalum kwa ajili ya siku ya wapendanao na wanandoa Duniani, February 14 ambayo ipo kwenye album yake anayotarajia kuiachia mwezi April mwaka huu. Mwanasiasa kutoka Kenya Seneta Mike Sonko juzi...
The post Nimekurekodia 255 kwenye XXL ya leo Jan 09, unaweza kuisikiliza ukiingia hapa appeared first on TZA_MillardAyo.