Video ikionyesha Rais Kikwete akitoka Hospitali baada ya kupatiwa matibabu.
omwonyesha RaisPicha nyingi zimeanza kuenea mitandaoni tangu juzi zikimuonyesha Rais Kikwete akitoka Hospitali baada ya kupatiwa matibabu ya upasuaji wa Tezi Dume. Leo nimekuwekea video hii ambayo...
View ArticleKama hujui magazeti ya Leo yameandika nini, Story kubwa 5 nimekuwekea hapa.
MWANANCHI Polisi Kilimanjaro inamshikilia mzee Mungai Molel (75) kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka 11 wa shule ya msingi Okaseni na kumjeruhi vibaya katika sehemu za siri. Kamanda wa Polisi mkoani...
View ArticlePale ambapo muathirika wa UKIMWI anapoamua kuyakatili maisha ya watoto wake.
Watoto wadogo wamekuwa katika hatari ambapo mara nyingi tumesikia taarifa za watoto kufanyiwa vitendo mbalimbali vya kikatili na watu wazima. Taarifa kutoka katika mitandao ya Nigeria imesema watoto...
View ArticleAjali nyingine ya kuanguka kwa jengo la Ghorofa Tano
Taarifa iliyonifikia muda mfupi uliopita inahusu ajali ya kuanguka kwa Jengo ambalo lilikuwa linaendelea kujengwa. Mtu mmoja amefariki na wafanyakazi na wakazi wengine wa eneo la Ruaraka, Kenya...
View ArticleUmesikia kuhusu mwanamke aliyekaa Mochwari kwa saa 11?
Story za maajabu ya ulimwengu zinaendelea kukaa kwenye headlines kila siku, na inaponifikia cha kwanza ninachokifanya ni kukufikishia mapema iwezekanavyo ili na wewe usipitwe. Ya leo inaweza kuwa moja...
View ArticleHivi ndivyo vocha ya simu ilivyohatarisha maisha ya mtu.
Mwanamke mmoja amenusurika kuuwawa kutokana na kupigwa na mume wake ambaye ni askari, kisa ikiwa ni mwanamke huyo kushindwa kumnunulia vocha. Akisimulia mkasa huo uliotokea Uganda, mke wa askari huyo...
View ArticleFahamu kilichojiri mechi za kufuzu AFCON 2015.
Michezo kadhaa ya kufuzu kwa michuano ya kombe la mataifa ya afrika barani afrika imefanyika hii leo katika viwanja tofauti barani humu . Michezo hiyo ambayo ni ya pili kutoka mwisho katika hatua ya...
View ArticleKama umepitwa na habari kuhusu vitambulisho vya uraia, ipo hapa.
Zoezi la utoaji wa Vitambulisho vya Uraia limeendelea leo, kituo cha Televisheni TBC1 kimeripoti kuhusu namna zoezi hilo lilivyofanyika. Katika taarifa hiyo baadhi ya watu waliohojiwa maeneo ya Sinza...
View ArticleMagazeti ya leo Nov 16 2014 Michezo na Hardnews
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleImefanyika sherehe ya kuagwa Solange Knowles, Jay Z alitokea?
Mwanadada Solange ambaye aliamua kuachana na maisha ya usela na kuridhia ndoa na Alan Ferguson anaingia kwenye headline nyingine kuhusiana na kilichojiri kwenye party ya kuagwa iliyofanyika jana...
View ArticleNimekuwekea hapa Stori 6 kubwa za kwenye Magazeti ya leo Tanzania November...
HABARILEO MTUHUMIWA wa kesi ya kulawiti mtoto wa kiume, aliyekua akitafutwa na mahakama ya rufaa Sixtus Kimaro ambaye alikutwa na tuhuma hizo wakati akiwa Padri katika kaniska katoliki jimbo kuu la...
View ArticleStori nyingine kubwa ya michezo iliyosambaa Tanzania, ni kuhusu kocha wa...
Ripoti kadhaa ambazo hazijathibitishwa zinasema kuwa kocha wa timu ya Mbeya City Juma Mwambusi amejiuzulu ambapo hatua hiyo imekuja baada ya kuishuhudia timu yake ikipata mfululizo wa matokeo mabaya...
View ArticleJamaa wameitaja ligi bora ya soka duniani, nimekuwekea hapa list kamili na...
Moja ya maswali ambayo wanaolipenda soka duniani wamekuwa wakijiuliza ni kuhusiana na ligi ambayo inaweza kutajwa kuwa bora kuliko zote duniani na ni ngumu kujibu swali hili kwani hakuna vigezo ambavyo...
View ArticleKutoka Dar es salaam!! ugumu wa kupata vile vitambulisho vya Uraia
Ripota wa TZA (millardayo.com na AyoTV) Elisa Shunda kutoka Dar es salaam ameziwasilisha hizi picha za wakazi wa kata ya Ubungo wakiwa katika msururu wakisubiri kupatiwa vitambulisho vyao vya uraia...
View ArticleKutoka kwenye ukumbi alikofanyia show Ommy Dimpoz Sweden, hizi ni picha 9
Namleta kwako mwimbaji staa wa Tanzania Ommy Dimpoz ambae anatajwa kuwemo kwenye 5 bora ya waimbaji wa kiume wa Tanzania wanaopokea malipo makubwa kwenye show zao. Mkali huyu ambae alisogeza mbele show...
View ArticleNi time ya kuziona picha zinazoikaribisha single mpya ya Barnaba na Vanessa Mdee
Hajafanya kolabo nyingi sana kiasi cha kusema tumezoea, hii ndio sababu nyingine ukisikia V Money ( Vanessa Mdee ) kaungana na msanii mwingine kufanya kazi ya muziki pamoja unakua na hamu ya kuisikia...
View ArticleGood news nyingine ya wikiendi inamuhusu staa wa bongo kuvishwa pete ya uchumba
Mwanamitindo wa kimataifa kutokea Tanzania aishie Marekani, Flaviana Matata amefungua ukurasa mpya wa maisha baada ya kuvishwa pete ikiwa ni ishara ya kuwa mchumba wa mtu rasmi. Kwa mujibu wa picha...
View ArticleTop10 stories za AyoTV, Mashabiki walichomfanyia Ali Kiba Kigoma, anapojenga...
November 2014 AyoTV ambayo iko chini ya TZA inayomiliki pia millardayo.com imeanza kufanya kazi kwa kuleta zao la kwanza liitwalo #StorizaAyoTV ikiwa ni mkusanyiko wa stori chache kubwa zinazohusu...
View ArticleWarioba hakudhalilishwa? ana Walinzi? serikali imesemaje?
Ni siku kumi na tano zimepita tangu kuripotiwa tukio la vurugu katika mdahalo wa Katiba uliohudhuriwa pia na aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba Katiba Novemba 2 2014,...
View ArticleKutoka mezani kwa Gossip Cop, hii ni You Heard ya November 17….
Jumatatu ya leo Novemba 17 2014 kupitia XXL ya Clouds Fm Gossip Cop Soudy Brown ametoboa kuhusiana na mwana Bongofleva ambaye uhusiano wake wa kimapenzi yamevunjwa na mzungu, unataka kumjua? Endru G...
View Article