Hajafanya kolabo nyingi sana kiasi cha kusema tumezoea, hii ndio sababu nyingine ukisikia V Money ( Vanessa Mdee ) kaungana na msanii mwingine kufanya kazi ya muziki pamoja unakua na hamu ya kuisikia hiyo kazi yenyewe. Hata hivyo haiko mbali na wewe manake November 18 2014 ambayo ni Jumanne wiki hii ndio spika zako zitakupa...
The post Ni time ya kuziona picha zinazoikaribisha single mpya ya Barnaba na Vanessa Mdee appeared first on TZA_MillardAyo.