Namleta kwako mwimbaji staa wa Tanzania Ommy Dimpoz ambae anatajwa kuwemo kwenye 5 bora ya waimbaji wa kiume wa Tanzania wanaopokea malipo makubwa kwenye show zao. Mkali huyu ambae alisogeza mbele show zake za Ulaya ili amalizie Fiesta Tour 2014 Tanzania, juzi amefanya show Sweden kwenye muendelezo wa list yake ya Ulaya ambapo mpaka sasa...
The post Kutoka kwenye ukumbi alikofanyia show Ommy Dimpoz Sweden, hizi ni picha 9 appeared first on TZA_MillardAyo.