Ripota wa TZA (millardayo.com na AyoTV) Elisa Shunda kutoka Dar es salaam ameziwasilisha hizi picha za wakazi wa kata ya Ubungo wakiwa katika msururu wakisubiri kupatiwa vitambulisho vyao vya uraia ambavyo vimekuwa ngumu kuvipata kutokana na mpangilio unaolalamikiwa kuwa mbovu wa mamlaka ya vitambulisho (NIDA). Baadhi ya wananchi waliofika katika kituo hicho na vingine wamekuwa...
The post Kutoka Dar es salaam!! ugumu wa kupata vile vitambulisho vya Uraia appeared first on TZA_MillardAyo.