Ripoti kadhaa ambazo hazijathibitishwa zinasema kuwa kocha wa timu ya Mbeya City Juma Mwambusi amejiuzulu ambapo hatua hiyo imekuja baada ya kuishuhudia timu yake ikipata mfululizo wa matokeo mabaya kwenye ligi ambapo katika michezo saba imeshinda mechi moja tu huku ikitoka saregame mbili alafu nne zilizobaki ikawa imefungwa. Taarifa kutoka Mbeya zinasema kwa muda mrefu...
The post Stori nyingine kubwa ya michezo iliyosambaa Tanzania, ni kuhusu kocha wa Mbeya City appeared first on TZA_MillardAyo.