Moja ya maswali ambayo wanaolipenda soka duniani wamekuwa wakijiuliza ni kuhusiana na ligi ambayo inaweza kutajwa kuwa bora kuliko zote duniani na ni ngumu kujibu swali hili kwani hakuna vigezo ambavyo moja kwa moja vinafahamika kuwa vinaashiria ubora wa ligi flani kuliko nyingine. Wakati mwingine watu huenda mbali na kutazama ligi ambayo imetoa timu zenye...
The post Jamaa wameitaja ligi bora ya soka duniani, nimekuwekea hapa list kamili na vigezo. appeared first on TZA_MillardAyo.