Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Hivi ndivyo vocha ya simu ilivyohatarisha maisha ya mtu.

$
0
0

Mwanamke mmoja amenusurika kuuwawa kutokana na kupigwa na mume wake ambaye ni askari, kisa ikiwa ni mwanamke huyo kushindwa kumnunulia vocha. Akisimulia mkasa huo uliotokea Uganda, mke wa askari huyo Eva Okoth amesema mume wake alikuwa ametoka kunywa pombe na rafiki zake, akaanza kujisikia vibaya baada ya kushindwa kula na kutapika akihisi rafiki zake walimwekea sumu katika...

The post Hivi ndivyo vocha ya simu ilivyohatarisha maisha ya mtu. appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles