Michezo kadhaa ya kufuzu kwa michuano ya kombe la mataifa ya afrika barani afrika imefanyika hii leo katika viwanja tofauti barani humu . Michezo hiyo ambayo ni ya pili kutoka mwisho katika hatua ya makundi ya kufuzu imetoa timu kadhaa ambazo zimefuzu kushiriki michuano ya AFCON ambayo itafanyika nchini Equatoria Guinea . Katika michezo hiyo...
The post Fahamu kilichojiri mechi za kufuzu AFCON 2015. appeared first on TZA_MillardAyo.