Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461
↧

Kama umepitwa na habari kuhusu vitambulisho vya uraia, ipo hapa.

$
0
0

Zoezi la utoaji wa Vitambulisho vya Uraia limeendelea leo, kituo cha Televisheni TBC1 kimeripoti kuhusu namna zoezi hilo lilivyofanyika. Katika taarifa hiyo baadhi ya watu waliohojiwa maeneo ya Sinza wameongelea kuhusu hilo, mmoja wa watu hao Chiku Abdalla amesema; “….Utaratibu ni mbovu, kwa hiyo kwa mtazamo wangu mimi kama mimi..wangefanya utaratibu kwamba Sinza C wachukulie...

The post Kama umepitwa na habari kuhusu vitambulisho vya uraia, ipo hapa. appeared first on TZA_MillardAyo.

↧

Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles