Story za maajabu ya ulimwengu zinaendelea kukaa kwenye headlines kila siku, na inaponifikia cha kwanza ninachokifanya ni kukufikishia mapema iwezekanavyo ili na wewe usipitwe. Ya leo inaweza kuwa moja kati ya zilizowahi kukushangaza zaidi, inahusu mwanamke Janina Kolkiewicz raia wa Poland, mwenye umri wa miaka 91 ambaye amekaa kwa muda saa 11 katika chumba cha...
The post Umesikia kuhusu mwanamke aliyekaa Mochwari kwa saa 11? appeared first on TZA_MillardAyo.