Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Imefanyika sherehe ya kuagwa Solange Knowles, Jay Z alitokea?

$
0
0

Mwanadada Solange ambaye aliamua kuachana na maisha ya usela na kuridhia ndoa na Alan Ferguson anaingia kwenye headline nyingine kuhusiana na kilichojiri kwenye party ya kuagwa iliyofanyika jana Novemba 15 2014 Marekani. Beyonce alitokea kwenye party hiyo ya nguvu iliyofanyika Indywood Cinema Theatre, lakini Jay Z na mwanaye Blue Ivy hawakuhudhuria, japo Beyonce alionyesha mwenye...

The post Imefanyika sherehe ya kuagwa Solange Knowles, Jay Z alitokea? appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles