Picha 15 za Usiku wa Damian Soul na watu wake ziko hapa….
Usiku wa Nov 7 Damian Soul amezindua video ya single yake ‘Ni Penzi’ aliomshirikisha rapper kutokea Arusha (87.9CloudsFM) Joh Makini.Uzinduzi huo umefanyika katika ufukwe wa bahari Escape One uliopo...
View ArticleKutana na Mapacha wanaoshirikiana kila kitu hadi Uhusiano wa kimapenzi
Huwa si kitu cha ajabu kuona mapacha wakifanana kila kitu ndani ya familia hadi kusababisha watu kuwachanganya pindi wanapokutana nao kama hawajawazoea kuwaona kila siku. Na mara nyingi mapacha wamekua...
View ArticleStori 5 Hot Magazeti ya leo Tanzania November8, 2014
MWANANCHI Wafanyakazi wapya katika hospitali ya taifa ya Muhimbili MNH wamelalamikia kutolipwa mishahara kwa miezi minne sasa huku uongozi ukishindwa kuwapa majibu ya ufumbuzi wa tatizo hilo....
View ArticleBilionea Dangote azidi kung’ara.
Mtandao wa Forbes umetoa list mpya ya matajiri hamsini kutoka Afrika list ambayo inaongozwa na tajiri wa Nigeria ambae ni Mfanya biashara maarufu na Rais wa kampuni ya Dangote Aliko Dangote, aliyekuwa...
View ArticleWewe ni wa Yanga? Full Time ya Yanga vs Mgambo JKT ninayo hapa kama ulimis
Baada ya kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Kagera Sugar kwa kufungwa kwenye uwanja wa Kaitaba Bukoba, November 8 2014 Yanga imejitupa uwanjani vs Mgambo JKT kwenye uwanja wa taifa Dar ea Salaam....
View ArticleFull Time za Liverpool, Real Madrid, Man U, City na nyingine November 8 2014
Unaambiwa mechi yao miezi sita iliyopita inatajwa kuwa moja ya mechi zilizoinyima ubingwa Liverpool ambapo leo hii Chelsea ikiwa kwenye ubora wa hali ya juu huku Liverpool wakiwa wanasuasua, walikipiga...
View Article#AyoTV Dakika 4 kutoka kwenye chumba yalikotangazwa maamuzi mapya ya Miss...
Kazi ya TZA (millardayo.com na AyoTV) ni kuhakikisha inazibeba stori zote muhimu na kukuwekea hapa ili uwe huru kufanya mambo yako ukijua ukiwa free utazitumia dakika zako kupita hapa kuona...
View ArticleZile stori zetu za Hekaheka… hii ni moja ya zitazokumbukwa!
Kuna zile stori tu za maisha yetu hayahaya ya mtaani, umejipangia zako mambo yako bila kujua kuna kitu kinaweza kutokea na kukuumbua katika mazingira ambayo hukuwahi kutarajia kabisa. Hii hekaheka ya...
View ArticleUmesikia alichosema boss wa Facebook baada ya kuulizwa kwanini anavaa Tshirt...
Hapa nyumbani Tanzania nimeshawahi kusikia kuhusu matajiri wachache wanaofanya biashara ambao huwa hawabadili nguo zao au huwa kuna vitu wanafanya vinavyopelekea hisia za watu kuamini kwamba utajiri...
View ArticleWema na Penny wamemaliza tofauti zao na kupiga hizi picha pamoja
Good news iliyonifikia usiku wa kuamkia leo ni kwamba Mtangazaji Penny Mungila aka VJ Penny na staa wa Bongo Movie Wema Sepetu wamemaliza tofauti zao baada ya kutoelewana huku chanzo kikitajwa kuwa...
View ArticleMagazeti ya leo Nov 9 2014 Michezo na Hardnews
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleTaarifa ya kifo cha Mwimbaji wa Twanga Pepeta Amigo.
Mwimbaji wa zamani kutoka Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ Khamis Kayumbu maarufu kama ‘Amigolas’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kwenye hospital ya taifa muhimbili alikokuwa akitibiwa....
View ArticleUnataka kuona jinsi Miss Tanzania alivyofanyiwa party ya kuagwa Dar? ninazo...
Party ilifanyika Club Rouge na kuwahusisha rafiki zake pamoja na Watanzania wengine waliojitokeza baada ya kupata taarifa kwamba November 8 2014 mrembo huyu angeagwa kwa kufanyiwa hii party Dar es...
View Articlekama unaitaka list ya nyimbo 20 za CloudsFM Top20 November 9 2014
Kila Jumapili kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa saba mchana huwa countdown ya nyimbo 20 bora inafanyika kwenye CloudsFM Top 20 ambapo list ya November 9 2014 ni hii hapa chini. The post kama unaitaka...
View ArticleEti Fid Q yuko tayari kumlipa msanii gani ili apige nae kolabo?
Siku hizi zimekuwepo stori kadhaa za mastaa wa muziki hasasa Afrika kuingia kwenye headlines za kulipa Wasanii wakubwa kimataifa sanasana kutoka Marekani ili kufanya nao kolabo, lengo ni kujiongeza au...
View ArticleVideo nyingine mpya zilizoyakumbuka mazingira ya kiafrika.
Naona kiwango cha Wasanii wa Afrika kuzifanya video zao kwenye mazingira ya Kiafrika zaidi kinaongezeka kwenye TV zetu sasa hivi ambapo imeleta ladha nyingine kutokana na angalau kuuleta utofauti pale...
View ArticleUnataka kuuza au kununua fedha za kigeni? bei ya leo ninayo hapa
Pamoja na kukutakia siku njema NMB wanakuletea kiganjani mwako bei za kuuza na kununua fedha za kigeni kwa leo November 10 2014. The post Unataka kuuza au kununua fedha za kigeni? bei ya leo ninayo...
View ArticleKingine alichoandika Sitti Mtevu leo na alichoandikiwa na Mbunge Ridhiwani...
Ni siku ya tatu toka Sitti Mtemvu kulivua taji la Miss Tanzania alilotangazwa mshindi baada ya kuandamwa na baadhi ya Watanzania ambao hawakukubaliana na ushindi wake ambapo baada ya kulivua taji hilo...
View ArticleUmesikia mwanamke aliyemnyonga mwanaye wa miaka miwili ili ‘ajirushe’?
Wapo Wanawake ambao wamekua wakihangaika usiku na mchana ili waweze kupata watoto lakini wapo wengine ambao wamekua wakipewa watoto hao na Mungu lakini hukufuru kwa kuwaua kwa sababu tu hawana uwezo...
View ArticleUmeisikia ya jamaa aliyezidiwa pombe na kusinzia ndani ya treni akiwa mtupu?
Tumesikia stori nyingi zinazozungumzia athari za matumizi ya pombe kwa kiasi cha kupindukia, stori hii inamhusu jamaa ambaye alilewa kupindukia na kulala usingizi mzito ndani ya treni akiwa mtupu bila...
View Article