Gosby kaitoa hii single mpya inaitwa ‘Wema Sepetu’ ! ingia hapa kuisikiliza
Kila alieona jina la wimbo ‘Wema Sepetu’ amekua na hamu ya kujua moja kwa moja nini kimeimbwa ndani ya hii single ya mkali Gosby ambayo single zake zilizotangulia kama ile ya ‘Monifere’ ft. Vanessa...
View ArticleKazi ni kwako tu mtu wangu, Vodacom wamekuletea na hii ya kuJimix!!
Utazidi kuwa mtandao wenye nafasi kubwa kwangu na hii ni sababu wamekua wakibadilika kwendana na wakati lakini pia wanatimiza ahadi ambazo wamekua wakizitoa toka nimeanza kuwa nao kiganjani mwangu....
View ArticleNyama choma Festival Dodoma weekend hii! ni time yetu mtu wangu
Ukiniuliza ni top 5 ya Events zangu bora kwa mwaka 2014 ni lazima kwenye hiyo list Tamasha la Nyama Choma litakuwepo, kimekua ni kitu ninachokipenda sababu kimekuja na ubunifu mpya na wa kistaarabu...
View ArticleMagazeti ya leo Nov 7 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleKama unatumia WhatsApp, hii mpya inakuhusu kabisa!
Nakumbuka moja ya taarifa kubwa zilizowahi kuchukua headlines mwezi Februari 2014 ilikuwa ni stori ya kuuzwa kwa mtandao wa Whatsapp kwa mmiliki wa Facebook, leo kuna taarifa nyingine mpya kuhusiana na...
View ArticleSikiliza Magazeti yaliyosomwa Redioni Leo Novemba 7.
Tumia dakika 16 kwa ajili ya kusikiliza kilichoandikwa kwenye Magazeti mbalimbali ya leo na hapa yanasomwa na kuchambuliwa na Paul James kutoka kwenye kipindi cha Power Breakfast, zipo taarifa nyingi...
View Article#Instagram… guess nani kakutana na President wa Wasafi kwenye ndege?...
Ni siku moja tu imepita toka mastaa kadhaa wa Uganda waliposikika kwenye #AMPLIFAYA ya CloudsFM wakiwemo producer na wasanii waliomsifia Diamond Platnumz na kusema ni mfano sahihi wa kuigwa hata na...
View ArticleUjumbe wa kwanza alioutoa Beyonce baada ya Kelly Rowland kujifungua…
Siku ya jana Novemba 6, Beyonce alimtembelea Kelly Rowland aliyejifungua mtoto wa kiume na kuacha ujumbe wa nguvu katika ukurasa wake wa Instagram (@beyonce) kwa mtoto huyo. “.. Hakuna hisia nzuri kama...
View ArticlePanya wa India mpaka Hospitali, hii nayo imechukua headline…
Zaidi ya panya elfu nne wameuwawa ndani ya siku mbili katika hospitali maarufu ya serikali nchini India. Mkurugenzi wa Hospitali hiyo amesema Kampuni ya kudhibiti wadudu imewaangamiza panya hao...
View ArticleAnne Kilango kasimama bungeni leo, zimeombwa milioni ngapi kujenga nyumba ya...
Headlines za dawa za kulevya ni miongoni mwa headlines ambazo zimekua zikitokea kwenye vyombo vya habari Tanzania kila wakati na zimekua zikitaja au kuhusisha baadhi ya watu maarufu, Wauzaji na hata...
View ArticleRapa tajiri Jay Z kafanya makubwa zaidi…
Rapa wa Marekani Shawn Corey Carter a.k.a Jay Z ameingia kwenye headlines za vyombo vya habari mbalimbali vikubwa na mitandao duniani. Taarifa ikufikie kwamba baba wa Blue Ivy Carter na mume wa...
View ArticlePichaz za mastaa wa muziki wanaoongoza kuingiza hela nyingi mwaka 2014…
Kama hujui hii ndio list ya mastaa wa kike watano wanaofanya muziki walioongoza kwa kuingiza mkwanja mkubwa kwa kipindi cha mwaka 2013-14 Marekani. Wapo mastaa ambao wana majina ambayo yanasikika sana...
View ArticleIshu ya Rais wa China kuondoka na mzigo Tanzania imezungumziwa na serikali leo.
Serikali imetoa taarifa kuhusu tuhuma zilizoripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari nchini na vya Kimataifa kuhusiana na ziara ya Rais wa China kuhusishwa na usafirishwaji wa meno ya Tembo kutoka...
View ArticleBob Juniour ndio kahusika leo kwenye You Heard ya XXL.
Kwenye XXL ya CloudsFM leo U Heard inamhusu msanii kutoka Sharobaro Records Bob Junior na ni baada ya kusemekana kuna picha zake zimesambaa mtandaoni akiwa mapenzini. Bonyeza play hapa chini ili...
View ArticleLabda kama hukuelewa alichosema Shetta kuhusu Ali Kiba. @ShettaTz
Ameingia kwenye vichwa vya habari Tanzania na hata wengine kuona kama amekosea kutoa kauli au kumdiss staa wa bongofleva Ali Kiba lakini ukweli anaousema Shetta ni kuwa maneno aliyoyasema...
View ArticleMagazeti ya leo Nov 8 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleUtapenda kwenda cinema wikiendi hii?ratiba nimekuweka hapa
Mtu wangu hizi hapa ndiyo movies zitakazoonyeshwa kwenye theater mbalimbali na unaweza kuchagua muda wako,movie yako na wapi pa kwenda kuangalia.kama upo Dar es Salaam unaweza ukaenda ,Mlimani...
View ArticleBreaking News:Taarifa mpya kuhusu ushindi wa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu
Tangu Sitti Mtemvu atangazwe mshindi pale Mlimani City kumekua na malalamiko kutoka kwa baadhi ya Watanzania yalifuatia kutokana na umri wake,pamoja na taarifa nyingine ambazo yeye alizikanusha na...
View ArticleRais anaetembelea gari la mwaka 1987.
Ni kawaida kuona Rais anaishi maisha ya kifahari ni jambo ambalo limezoeleka,hii ni tofauti kabisa kwa Rais Jose Mujica. Rais Jose Mujica wa Uruguay ni Rais masikini zaidi Duniani anaeishi kijijini na...
View ArticleMabibi na mabwana @MwanaFA anayofuraha kutualika kutazama video yake mpya ya...
Ni single ambayo imeivunja rekodi yake mwaka huu wa 2014 kwenye list ya 20 bora za CloudsFM Top 20 ambapo ilikaa kwenye namba one kwa zaidi ya wiki tano mfululizo. Baada ya kuenjoy na audio yake kwa...
View Article