Ukiniuliza ni top 5 ya Events zangu bora kwa mwaka 2014 ni lazima kwenye hiyo list Tamasha la Nyama Choma litakuwepo, kimekua ni kitu ninachokipenda sababu kimekuja na ubunifu mpya na wa kistaarabu lakini pia imekua ni sehemu ambayo hunikutanisha na marafiki wapya na wa zamani. Weekend hii ni zamu ya watu wangu wa Dodoma...
The post Nyama choma Festival Dodoma weekend hii! ni time yetu mtu wangu appeared first on TZA_MillardAyo.