Hizi ni picha za wanaume waliojitolea kuonja maumivu ya mwanamke anapojifungua…
Kuna vioja tumekuwa tukivisikia sehemu mbalimbali duniani, na bado vingine vinaendelea kuibuka siku baada ya siku. Leo hii kuna stori mpya ambayo imenifanya niendelee kuweka kumbukumbu kichwani kuhusu...
View ArticleWafungwa, mama wa watoto wa nne wafanya mtihani wa kumaliza darasa la saba…
Mtihani wa kitaifa wa shule za msingi Kenya (KCPE) umeanza leo ambapo miongoni mwa watahiniwa ni wanafunzi wa vituo vya elimu ya watu wazima ambao wamejitokeza kwa wingi. Katika hali ambayo huenda...
View ArticleNisher arusha dongo kwa wanaomuandikia ‘nyaraka’ za kumkosoa…..
Director Nisher atupa jiwe gizani unahisi amemlenga nani? Kupitia mtandao wa Instagram Nisher amepost picha yenye maneno yanayoonekana kuwa ni dongo linalomwendea mtu ambaye hakumtaja ,kwenye picha...
View ArticleKwa kosa la kutupa unga vichakani, Mahakama yawahukumu miaka 5 jela…
Jeshi la Polisi katika jitihada za kupambana na madawa ya kulevya, limewakamata watu wawili waliokuwa katika gari baada ya kutupa dawa za kulevya vichakani zenye thamani Paundi 230,000. Watuhumiwa hao...
View ArticleHii inahusu baba aliyemwalika dinner mbakaji wa mwanaye na kumuua…
Hakuna mzazi anayependezwa na kitendo cha mtoto wake kufanyiwa kitendo cha kinyama ama ukatili wa namna yoyote, huenda ndiyo sababu iliyomfanya mzazi huyu kuchukua maamuzi magumu ya kurudishia unyama...
View ArticleMagazeti ya leo Nov 5 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleNi Profesa Jay na CHADEMA.. Unajua kilichotokea leo? Kisome hapa uone na picha..
Mkongwe kwenye Game, Profesa Jay leo ameandika historia nyingine tangu atangaze kuingia rasmi kwenye jukwaa la kisiasa. Unajua kwamba jamaa alitangaza rasmi kuvaa gwanda la CHADEMA sasa leo ameendelea...
View ArticleSikiliza Magazeti yaliyosomwa Redioni Leo Nov5.
Tumia dakika 20 kwa ajili ya kusikiliza kilichoandikwa kwenye Magazeti mbalimbali ya leo na hapa yanasomwa na kuchambuliwa na Paul James kutoka kwenye kipindi cha Power Breakfast. 104.4 Clouds Fm...
View ArticleUliziona hizi dakika 3 za @MwanaFA baada ya kwenda Tanga?
Siku zote huwa inanifanya nitamani kuona inakuaje pale msanii flani anaporudi nyumbani kwao au kwenye mkoa wake na kufanya show…. kipimo cha upendo wa mashabiki ndio huwa napenda kuanza nacho. Ukitaka...
View ArticleTetesi za Pemba kuwa sehemu ya Kenya, Serikali ya Tanzania yatoa tamko…
Kufuatia kuripotiwa kwa taarifa katika vyombo mbalimbali vya habari kuhusiana na mgogoro wa mpaka uliokuwepo kutokana na madai kuwa kisiwa cha Pemba ni sehemu ya Kenya, Serikali ya Tanzania imetoa...
View ArticleCheki Mchongo walioutoa TFF unaokuhusu wewe mbunifu.
Inawezekana ukawa una ubunifu wako lakini ukawa unashindwa wapi utaupeleka na kupata pesa halali ya Kitanzania sasa mchongo huu hapa ambao wameutoa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)...
View ArticleMuendelezo wa ile ya ‘Maalim’ anayetapeli Wanawake kwa kuwaoa. #Hekaheka
Hekaheka ya leo Novemba5, muendelezo wa kile tulichokuwa tunakisikia kwa siku ya tatu kuhusu Maalim, leo mke wa mwisho asimulia mbinu aliyotumia kumwibia, atumia picha yake ya utotoni kudanganya kuwa...
View ArticleSikiliza hapa U Heard ya leo November 5 on XXL Clouds FM
Sikiliza hapa U Heard ya leo November 5 inamuhusu Mabeste.. Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga...
View ArticleUtapenda kupitwa na walichofanya WEUSI Arusha?
Ukibonyeza play hapa chini kwenye hii video ya AyoTV utapata time ya kuona kwa ufupi kilichofanywa na watu zaidi ya watano Arusha siku ya Jumamosi November 1 2014. Jumamosi hii WEUSI wamekubali kuwepo...
View ArticleStori 5 Hot kwenye Magazeti ya leo November5
MTANZANIA Polisi Mkoani Morogoro inamshikilia mwanamke mmoja Tausi Mohamed kwa tuhuma za kumjeruhi mtoto wa dada yake Jaffar Mashaka mwemye umri wa miaka11 kwa kumchanachana miguuni na mikononi kwa...
View ArticleKuhusiana na kuvuja kwa picha za utupu za huyu staa wa muziki Uganda,...
Waziri wa Maadili wa Uganda Simon Lokodo ameagiza kukamatwa kwa msanii Franklin kutoka Nigeria ambaye anatuhumiwa kwa kusambaza picha za utupu alizopiga akiwa na mpenzi wake Desire Luzinda. Serikali ya...
View ArticleStori hii inahusu mtu aliyempigia simu Rais kuomba msaada wa fedha kuutoa...
Baadhi ya viongozi wakubwa duniani ikiwemo Marais, Viongozi wa kidini na wengineo wamekuwa na utaratibu wa kutumia huduma za mitandao ya kijamii na simu za mkononi kuwasiliana na watu. Rais wa Kenya,...
View ArticleSikiliza Magazeti yaliyosomwa Redioni Leo Novemba 5.
Tumia dakika 17 kwa ajili ya kusikiliza kilichoandikwa kwenye Magazeti mbalimbali ya leo na hapa yanasomwa na kuchambuliwa na Paul James kutoka kwenye kipindi cha Power Breakfast, zipo taarifa nyingi...
View ArticleMagazeti ya leo Nov 6 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleUnahitaji kujua umebakiwa na siku ngapi za kuishi duniani? Ipo app ya simu...
Ukuaji wa teknolojia unazalisha stori mpya kila siku ila leo huenda ukashtuka; unajua simu yako inaweza kukwambia siku yako ya kufa? ‘Macabre iPhone App’ ni application ambayo unaweza kuiweka kwenye...
View Article