Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Tetesi za Pemba kuwa sehemu ya Kenya, Serikali ya Tanzania yatoa tamko…

$
0
0

Kufuatia kuripotiwa kwa taarifa katika vyombo mbalimbali vya habari kuhusiana na mgogoro wa mpaka uliokuwepo kutokana na madai kuwa kisiwa cha Pemba ni sehemu ya Kenya, Serikali ya Tanzania imetoa taarifa rasmi kuhusiana na mgogoro huo. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe, amewatoa hofu Wananchi kuwa Pemba ni sehemu ya...

The post Tetesi za Pemba kuwa sehemu ya Kenya, Serikali ya Tanzania yatoa tamko… appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles