Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Unahitaji kujua umebakiwa na siku ngapi za kuishi duniani? Ipo app ya simu itakayokupa jibu hilo…

$
0
0

Ukuaji wa teknolojia unazalisha stori mpya kila siku ila leo huenda ukashtuka; unajua simu yako inaweza kukwambia siku yako ya kufa? ‘Macabre iPhone App’ ni application ambayo unaweza kuiweka kwenye simu yako na jukumu ambalo utakuwa nalo ni kuweka ratiba zako zote za siku nzima, application hiyo inapiga hesabu halafu inakupa majibu siku zako ngapi...

The post Unahitaji kujua umebakiwa na siku ngapi za kuishi duniani? Ipo app ya simu itakayokupa jibu hilo… appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles