Kila alieona jina la wimbo ‘Wema Sepetu’ amekua na hamu ya kujua moja kwa moja nini kimeimbwa ndani ya hii single ya mkali Gosby ambayo single zake zilizotangulia kama ile ya ‘Monifere’ ft. Vanessa Mdee zimempa nafasi ya kupokewa zaidi na Wabongo. Ukitaka kuisikiliza na kudownload hii mpya ya ‘Wema Sepetu’ unaweza kubonyeza hapa >>>HAPA
The post Gosby kaitoa hii single mpya inaitwa ‘Wema Sepetu’ ! ingia hapa kuisikiliza appeared first on TZA_MillardAyo.