Rapa wa Marekani Shawn Corey Carter a.k.a Jay Z ameingia kwenye headlines za vyombo vya habari mbalimbali vikubwa na mitandao duniani. Taarifa ikufikie kwamba baba wa Blue Ivy Carter na mume wa Beyonce, Jigga amenunua kampuni inayotengeneza Shampeni ya Armand de Brignac “Ace of Spades”. Mapenzi ya Jay Z kwa Shampeni hiyo hayakuanza leo, katika...
The post Rapa tajiri Jay Z kafanya makubwa zaidi… appeared first on TZA_MillardAyo.