Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Labda kama hukuelewa alichosema Shetta kuhusu Ali Kiba. @ShettaTz

$
0
0

Ameingia kwenye vichwa vya habari Tanzania na hata wengine kuona kama amekosea kutoa kauli au kumdiss staa wa bongofleva Ali Kiba lakini ukweli anaousema Shetta ni kuwa maneno aliyoyasema yalipindishwa, yani kilichoripotiwa sicho alichokizungumza. Kujua zaidi alichosema bonyeza play kwenye hii Exclusive video na AyoTV hapa chini. Unapenda stori kama hizi zisikupite? ungana na mtu...

The post Labda kama hukuelewa alichosema Shetta kuhusu Ali Kiba. @ShettaTz appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles