Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Taarifa ya kifo cha Mwimbaji wa Twanga Pepeta Amigo.

$
0
0

Mwimbaji wa  zamani kutoka Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ Khamis Kayumbu maarufu kama ‘Amigolas’  amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kwenye hospital ya taifa muhimbili alikokuwa akitibiwa. Amigo alilazwa Muhimbili kwa matatizo ya moyo ambapo kwa sasa msiba uko nyumbani kwa mama mzazi wa marehemu Mburahati Dar es Salaam jirani na Shule ya Msingi...

The post Taarifa ya kifo cha Mwimbaji wa Twanga Pepeta Amigo. appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles