Party ilifanyika Club Rouge na kuwahusisha rafiki zake pamoja na Watanzania wengine waliojitokeza baada ya kupata taarifa kwamba November 8 2014 mrembo huyu angeagwa kwa kufanyiwa hii party Dar es salaam. Miss Dodoma ambae pia ni Miss Tanzania 2013Â Happiness Watimanywa (20) aliandaliwa party ya kuagwa ambapo anatarajia kusafiri Jumamosi ijayo kuelekea Uingereza kuiwakilisha Tanzania kwenye...
The post Unataka kuona jinsi Miss Tanzania alivyofanyiwa party ya kuagwa Dar? ninazo picha zake hapa appeared first on TZA_MillardAyo.