Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Eti Fid Q yuko tayari kumlipa msanii gani ili apige nae kolabo?

$
0
0

Siku hizi zimekuwepo stori kadhaa za mastaa wa muziki hasasa Afrika kuingia kwenye headlines za kulipa Wasanii wakubwa kimataifa sanasana kutoka Marekani ili kufanya nao kolabo, lengo ni kujiongeza au kujisogeza hatua nyingi mbele kwenye muziki wao. Fid Q ameongea na mtangazaji Millard Ayo kwenye CloudsFM Top20 Jumapili November 9 2014 na kumtaja mwimbaji pekee...

The post Eti Fid Q yuko tayari kumlipa msanii gani ili apige nae kolabo? appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles