Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Video nyingine mpya zilizoyakumbuka mazingira ya kiafrika.

$
0
0

Naona kiwango cha Wasanii wa Afrika kuzifanya video zao kwenye mazingira ya Kiafrika zaidi kinaongezeka kwenye TV zetu sasa hivi ambapo imeleta ladha nyingine kutokana na angalau kuuleta utofauti pale TV inapocheza video nyingi zenye mazingira masafi ya ‘kizungu’ Ukiachia mpya ya Sauti Sol wa Kenya, hii ya leo imetoka zaidi ya wiki tatu zilizopita...

The post Video nyingine mpya zilizoyakumbuka mazingira ya kiafrika. appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles