Unaambiwa mechi yao miezi sita iliyopita inatajwa kuwa moja ya mechi zilizoinyima ubingwa Liverpool ambapo leo hii Chelsea ikiwa kwenye ubora wa hali ya juu huku Liverpool wakiwa wanasuasua, walikipiga kwenye game hiyo kali ndani ya uwanja wa Anfield. Mchezo huo umemalizika kwa Chelsea kuendeleza ubabe kwa Liverpool ambapo magoli ya Gary Cahil na Diego...
The post Full Time za Liverpool, Real Madrid, Man U, City na nyingine November 8 2014 appeared first on TZA_MillardAyo.