Kazi ya TZA (millardayo.com na AyoTV) ni kuhakikisha inazibeba stori zote muhimu na kukuwekea hapa ili uwe huru kufanya mambo yako ukijua ukiwa free utazitumia dakika zako kupita hapa kuona nilichokukusanyia. Kamati ya Miss Tanzania ilikutana na Waandishi wa habari kutangaza maamuzi mapya November 8 2014 baada ya taarifa nyingi na mitandao ya kijamii kujaa...
The post #AyoTV Dakika 4 kutoka kwenye chumba yalikotangazwa maamuzi mapya ya Miss Tanzania Sitti Mtemvu. appeared first on TZA_MillardAyo.