Mabibi na mabwana Steve RNB anarudi kwenye headlines na hii ! (picha 6)
Aliongea kwenye Exclusive interview na millardayo.com na kusema kwa kiasi flani alijutia kuiachia single ya ‘jambo jambo‘ siku alafu akasafiri kwenda Ulaya ambako kwa muda wote single imekua hit...
View ArticleUnajua jinsi ambavyo wapishi wa chakula waliwaua wapiganaji wa IS?
Kumekuwa na mbinu mbalimbali zinazotumiwa na Vikosi vya Serikali ya Syria kupambana na wapiganaji wa IS ambazo bado hazijafanikiwa sana kutokana na changamoto mbalimbali. Wapiganaji wa Dola ya Kiislamu...
View ArticleWalichokifanya Watanzania Vanessa, Shaa, Diamond na Joh Makini kwenye fainali...
Nimekuja kujikuta #CokeStudioAfrica ni show nyingine ninayopenda kuitazama kwenye TV ikiwa na muunganiko wa Wasanii wakali wa Afrika ambao wanatuteka kwa kufanya nyimbo zao live pamoja. Kwenye hii...
View ArticleAkimbia madeni usiku wa manane #Hekaheka.
Kama umepitwa na Hekaheka ya Leo inayohusu mwanamke aliyekopa majirani zake na kufikisha deni la Shilingi milioni tatu na kisha kuhama usiku wa manane. Unataka kujua ilikuwaje wanaomdai wakamshtukia?...
View ArticleStori 11 Hot za Magazeti ya leo Tanzania November 10,2014
MWANANCHI Rais Jakaya Kikwete amefanyiwa upasuaji wa tezi dume (Prostate) katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo katika jimbo la Maryland nchini Marekani. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa...
View ArticleUnadhani huu utakuwa mwisho wa kitendo cha baadhi ya watu kuvuta Sigara...
Suala la watu wengi kutopendezwa na kitendo cha baadhi ya watu kuvuta sigara hadharani ama ndani ya vyombo vya usafiri limekuwa likizungumziwa sehemu mbalimbali na ikafika wakati hata Bunge la Jamhuri...
View ArticleSikiliza You heard ya leo hapa.
Kwenye Xxl Leo taarifa zinazohusu Msanii Richi Mavoko kumiliki Bastola. 87.5 Clouds Fm Shinyanga. Bonyeza play kusikiliza. The post Sikiliza You heard ya leo hapa. appeared first on TZA_MillardAyo.
View ArticleMalalamiko ya wizi wa vifaa vya magari bandarini, Serikali imetoa tamko.
Imekuwa kawaida watu wengi kulalamikia vitendo vya wizi wa vifaa mbalimbali katika magari eneo la bandari ya Dar es Salaam hali iliyopelekea leo Serikali kutoa tamko rasmi juu ya mkakati unaoandaliwa...
View ArticleAmini katoka rasmi THT,hizi ni picha wakati anaagwa Nov 10.
THT leo imemuaga rasmi Amini ambaye miongoni mwa mastar wanaotokea kwenye jumba hilo la vipaji Tanzania baada ya kuishi ndani yake kwa zaidi ya miaka 9 mpaka sasa. Amini ambaye anakua msanii wa pili...
View ArticleUmesoma makubwa yaliyoandikwa na Magazeti ya Tanzania leo Nov 11 ? yako hapa
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleSikiliza Magazeti yaliyosomwa Redioni Leo Novemba 11.
Tumia dakika 18 kwa ajili ya kusikiliza kilichoandikwa kwenye Magazeti mbalimbali ya leo Novemba 11, hapa yanasomwa na kuchambuliwa na Paul James kutoka kwenye kipindi cha Power Breakfast. Zipo taarifa...
View ArticleChidi Benz Mahakamani tena leo, picha na alichokiandika kwa Watanzania viko...
Rapper Rashid Abdallah Makwiro aka Chid Benz ambaye yupo nje kwa dhamana kufuatia kukamatwa na dawa za kulevya uwanja wa ndege Dar es salaam leo Nov 11 2014 alikwenda tena kwenye Mahakama ya hakimu...
View ArticleRihanna ndani ya Ikulu ya Marekani, nina picha zake 5 za alichokifanya hapa.
Jumatatu Novemba 10 badgalriri ambae ni hivi karibuni amerudi kwenye account yake ya instagram alitinga ndani ya Ikulu ya Marekani (White House) ambapo hizi ni picha alizoziweka kwenye ukurasa wake wa...
View ArticleMpya ya Damian Soul kwenye TV zetu ft. Joh Makini ‘ni penzi’
Baada ya hii single kupata airtime ya kutosha kwenye Radio za Tanzania, mmiliki wake ambae ni Diamian Soul ameamua kuileta kwenye TV ft. Joh Makini. The post Mpya ya Damian Soul kwenye TV zetu ft. Joh...
View ArticleMahakama yatoa hukumu kwa Nahodha wa Meli iliyozama na kuua watu 300.
Mahakama imetoa hukumu kwa Nahodha na jumla ya wenzake kumi na nne kwa kupatikana na hatia ya uzembe uliopelekea meli kuzama na kuua watu 300. Nahodha Lee Joon-seok amehukumiwa kifungo cha miaka 36 kwa...
View ArticleMwendelezo wa Hekaheka ya jana huu hapa.
Hekaheka hii ni muendelezo wa ile Hekaheka ya jana ilayomuhusu mama aliyekopa majirani zake na kutaka kuhama nyumba usiku, mume azungumza sababu ya kuhama usiku, ashangazwa jina lake na simu yake...
View ArticleStori 10 Hot kwenye Magazeti ya leo Tanzania November 11,2014
NIPASHE Mtoto mweye umri wa miezi miwili ameibiwa baada ya mama yake kudaiwa kunyweshwa dawa za asili na mganga wa kienyeji katika kijiji cha Katororo Wilayani Geita. Kamanda wa Polisi Mkoani Geita...
View ArticleSikiliza 255 ya Clouds FM kupitia XXL Jumanne Novemba 11, 2014.
Kwenye 255 ya leo sehemu ya utakayoyasikia ni pamoja na stori kuhusu kesi ya msanii Chid Benz katika mahakama ya Kisutu leo, Rais Kikwete kutuma salam za rambirambi kutokana na kifo cha msanii...
View ArticleKwenye U Heard ya leo Novemba 11 rapa Stamina ndio kahusika.
Kwenye XXL ya Clouds Fm leo Novemba 11, U Heard inamhusu rapa toka Morogoro Stamina, ishu inahusu kukopa viatu na kumkimbia mdeni wake bila kulipa deni. sikiliza kupitia 87.5 Clouds Fm Shinyanga....
View ArticleTaarifa kuhusu ajali ya moto ulioteketeza shule ya msingi.
Moto mkubwa umeteketeza majengo ya Shule ya msingi Filbert Bayi na kisha kusambaa na kuteketeza mabweni yote ya Wanafunzi pamoja na madarasa. Mwenyekiti wa shule hiyo Filbert Bayi amesema moto huo...
View Article