Aliongea kwenye Exclusive interview na millardayo.com na kusema kwa kiasi flani alijutia kuiachia single ya ‘jambo jambo‘ siku alafu akasafiri kwenda Ulaya ambako kwa muda wote single imekua hit hakuwepo Tanzania so ikapita tu. Sasa hivi Steve RNB aliyeoa mwezi uliopita akiwa ni baba wa mtoto mmoja amerudi kwenye headlines na hii, anakaribia kumaliza kuitengeneza...
The post Mabibi na mabwana Steve RNB anarudi kwenye headlines na hii ! (picha 6) appeared first on TZA_MillardAyo.