Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Unajua jinsi ambavyo wapishi wa chakula waliwaua wapiganaji wa IS?

$
0
0

Kumekuwa na mbinu mbalimbali zinazotumiwa na Vikosi vya Serikali ya Syria kupambana na wapiganaji wa IS ambazo bado hazijafanikiwa sana kutokana na changamoto mbalimbali. Wapiganaji wa Dola ya Kiislamu Syria IS, wameuawa kwa kuwekewa chakula chenye sumu ambapo wapishi wa chakula hicho wametajwa kushirikiana na kikosi cha Syrian Free Army. Mashuhuda wamesema wamewaona wapiganaji kumi...

The post Unajua jinsi ambavyo wapishi wa chakula waliwaua wapiganaji wa IS? appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles