Tumesikia stori nyingi zinazozungumzia athari za matumizi ya pombe kwa kiasi cha kupindukia, stori hii inamhusu jamaa ambaye alilewa kupindukia na kulala usingizi mzito ndani ya treni akiwa mtupu bila kujitambua. Jamaa ambaye hajatambulika alikutwa amelala usingizi mzito ndani ya treni New York Marekani huku akiwa amevaa soksi na viatu peke yake pasipo nguo yoyote mwilini...
The post Umeisikia ya jamaa aliyezidiwa pombe na kusinzia ndani ya treni akiwa mtupu? appeared first on TZA_MillardAyo.