Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Rihanna ndani ya Ikulu ya Marekani, nina picha zake 5 za alichokifanya hapa.

$
0
0

Jumatatu Novemba 10 badgalriri ambae ni hivi karibuni amerudi kwenye account yake ya instagram alitinga ndani ya Ikulu ya Marekani (White House) ambapo hizi ni picha alizoziweka kwenye ukurasa wake wa Instagram zikionyesha alichokifanya ndani ya Ikulu hiyo. Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook...

The post Rihanna ndani ya Ikulu ya Marekani, nina picha zake 5 za alichokifanya hapa. appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles