Tumia dakika 18 kwa ajili ya kusikiliza kilichoandikwa kwenye Magazeti mbalimbali ya leo Novemba 11, hapa yanasomwa na kuchambuliwa na Paul James kutoka kwenye kipindi cha Power Breakfast. Zipo taarifa nyingi ikiwemo inayohusu kilichozungumzwa jana Bungeni Dodoma kuhusiana na Rais Kikwete kupatiwa matibabu Marekani. Bonyeza play kusikiliza stori zenyewe hapa chini Nitaendelea kukupatia kila stori...
The post Sikiliza Magazeti yaliyosomwa Redioni Leo Novemba 11. appeared first on TZA_MillardAyo.