Rapper Rashid Abdallah Makwiro aka Chid Benz ambaye yupo nje kwa dhamana kufuatia kukamatwa na dawa za kulevya uwanja wa ndege Dar es salaam leo Nov 11 2014 alikwenda tena kwenye Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es Salaam. Taarifa kutoka mahakamani kwenye upande wa Jamhuri zinasema upande huo umeomba kesi ya msanii huyo ipelekwe...
The post Chidi Benz Mahakamani tena leo, picha na alichokiandika kwa Watanzania viko hapa. appeared first on TZA_MillardAyo.